SERIKALI YAWAONYA WANAOPANDISHA BEI YA GESI KIHOLELA

SERIKALI imetoa onyo kwa wafanyabiashara wa gesi wanaouza na kupandisha bei  gesi  kiholela na kuwaumiza wananchi Waziri wa nishati Medard Kaleman ametoa onyo hilo jijini Dodoma mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya nishati ikiwemo kituo cha Mtambo wa kufua na kupozea umeme kilichopo Zuzu pamoja naku kuwatembelea wasambazaji na wauzaji